Manage sales, stock, credits, and customers in one simple dashboard — built for dukas, minimarts, and small and medium businesses.
Simamia mauzo, stock, madeni, na wateja kwenye dashibodi moja rahisi — iliyotengenezwa kwa maduka, minimat, na biashara ndogo na za kati.
Manual tracking means missed opportunities.
Kufuatilia kwa mkono kunamaanisha fursa zinapotea.
Paper records get lost or damaged.
Rekodi za karatasi hupotea au kuharibika.
Without data, you’re flying blind.
Bila taarifa, unaua biashara yako bila kujua
Wasting hours on admin instead of growing your business.
Unapoteza masaa kwenye usimamizi badala ya kukuza biashara yako.
Record every sale instantly
Rekodi kila uzo papo hapo
Always know what’s in stock
Wakati wote jua nini kiko stoo
Record your purchases seamlessly
Rekodi manunuzi yako kwa urahisi
Manage your customers easily
Simamia wateja wako kwa urahisi
See who owes you, get paid faster.
Jua nani unamdai, lipwa haraka.
Understand profits and losses in real-time.
Elewa faida na hasara kwa wakati halisi.
For small businesses
Kwa biashara ndogo
Advanced features for growing businesses
Vipengele vya juu kwa biashara zinazokuwaza
Create your free account in minutes
Fungua akaunti yako bure kwa dakika tu
Import inventory to get started
Ingiza stock ili kuanza
Manage everything from one place
Simamia kila kitu kutoka sehemu moja
Watch how easy setup is
Angalia urahisi wa kujisajili
Automate your daily sales records
Boresha kumbukumbu zako za kila siku za mauzo
Track credits and avoid stock losses
Fuatilia madeni na epuka hasara za stock
Real-time reports at your fingertips
Ripoti za wakati halisi unazifikia kwa vidole vyako
Built for Business owners, not accountants
Imetengenezwa kwa wamiliki wa biashara, si wahasibu
From Kariakoo to Arusha, businesses are switching to Duka Masta.
Kutoka Kariakoo hadi Arusha, biashara zinatumia Duka Masta.
“Duka Masta changed how I manage my shop. I no longer lose track of who owes me money.”
“Duka Masta imebadilisha jinsi ninavyosimamia duka langu. Sasa sipotezi tena kumbukumbu ya nani ninamdai.”
— Juma M., Kariakoo Shop Owner
— Baraka M., Mmiliki wa Duka Kariakoo
“Inventory tracking is now effortless. I always know what’s in stock.”
“Kufuatilia stoo sasa ni rahisi. Daima najua nini kiko stoo na vingapi.”
— Amina R., Arusha Minimart
— Magreth R., Minimart Arusha
"Reports and stock alerts have transformed our business. Managing employees and getting real-time insights anywhere makes Duka Masta a real game changer!"
"Ripoti na arifa za stock zimebadilisha biashara yetu. Kusimamia wafanyakazi na kupata taarifa wakati wowote kunafanya Duka Masta iwe suluhisho la kweli!"
— Hassan K., Dar es Salaam Wholesale Store
— Hassan K., Duka la Jumla Dar es Salaam
Have questions? We're here to help!
Una maswali? Tuko hapa kukusaidia!
+255 615 811 239
Dar es Salaam, Tanzania